• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

Posted on: May 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo azungumza na wanabagamoyo kupitia Redio ya Harvest Time Fm 100.1 katika kipindi cha Morning Package juu ya ujio wa filamu ya kuonesha utalii wa Bagamoyo katika Anga za kimataifa.

Mhe Ndemanga ameyazungumza hayo ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuunga mkono juhudi za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Utalii.

Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa wito pia kwa wafanyabiashara pamoja na wamiliki wa Hoteli kuunga mkono swala hilo kwa kuweka udhamini wao ili kuhakikisha swala hilo linafanikiwa

Pia Mhe Ndemanga amesema tayari wameanza mazungumzo na kampuni kadhaa ili kuweza kidhamini filamu hiyo pamoja na kutoa mafunzo kwa wale waongozaji wa watalii watakao kuja kutalii Bagamoyo.

Vilevile Mhe Ndemanga amesema kuwa wamejipanga kisawasawa katika kuboresha miundombinu pamoja na kuendelea na kampeni yao ya usafi wa Mazingira na kufanya mji kuwa safi na kuvutia muda wote.

Mbali na yote Mhe Mkuu wa Wilaya ameendelea kwa kusema swala ulinzi na usalama lipo vizuri katika kila eneo la Bagamoyo na kuwatoa wasiwasi wale ambao wanahitaji kuja kufanya utalii Bagamoyo kutokuwa na mashaka kwenye eneo hilo.

Pia Mhe Amesema kuwa wameingia makubaliano na Kampuni ya Mtembezi Adventure katika maandalizi ya Filamu hiyo fupi ya utalii wa Bagamoyo na kusema pia tayari vazi rasmi la filamu hiyo lipo tayari.

Mwisho Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa wito kwa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhali katika kipindi hichi cha mvua kwa kuendelea kuweka safi mazingira na kuchukua tahadhali zote za kiafya ili kuwa salama na magojwa ya mlipuko.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo