• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BARAZA LA WAHE. MADIWANI WARIDHIA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO KWA MWAKA 2019/2020

Posted on: January 30th, 2019

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo jana tarehe 29/01/2019 limepitisha makisio ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 kiasi cha Tsh. 31,744,995,832.00. Kati ya fedha hizo Tshs. 2,750,562,366.00 ni ruzuku ya miradi ya maendeleo, Tshs 1,374,830,000.00 ni ruzuku ya matumizi ya kawaida, Tshs. 24,672,905,808 mishahara, na Tshs 2,946,697,658.00 ni mapato ya ndani.

Aidha Halmashauri imejiwekea mikakati mbalimbali ili kuhakikisha ukusanyaji wa mapato ya vyanzo vya ndani unaimarika na kuwa wa ufanisi zaidi. Mikakati hiyo ni pamoja na ununuzi wa gari moja litakalokuwa likifanya kazi ya kufuatilia ukusanyaji wa vyanzo vya mapato ili kuongeza nguvu ya ukusanyaji wa mapato ya vyanzo vya ndani, kuboresha majengo ya kutolea huduma za afya na elimu, kuboresha miundombinu ya masoko, likiwemo soko la samaki dunda pia kufanya uhamasishaji wa Wananchi juu ya uchangiaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wahisani na wadau wa maendeleo.

Vipaumbele vya miradi ya maendeleo vya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020 vimejikita katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Ujenzi, Ardhi na maliasili, Utawala, Maendeleo ya Jamii, Fedha na biashara, Uvuvi, Mifugo, Sekta ya Kilimo.

Katika kipindi cha Mwaka wa fedha 2018/2019 Halmashauri iliidhinishiwa kukusanya na kutumia kiasi cha Tshs 32,731,967,034.00 na hadi kufikia Desemba, 2018 Halmashauri ilikuwa imekusanya kiasi cha Tshs. 13,336,944,161.00 ikiwa ni sawa na asilimia 41 ya mapato yote yanayojumuisha mapato ya ndani, ruzuku ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo na Tshs. 12,415,892,926.00 zilitumika sawa na asilimia 38 ya makisio.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo