• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BENKI YA MATOFALI KUANZISHWA BAGAMOYO

Posted on: February 6th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainab Kawawa pamoja na kamati ya Ulinzi na usalama (W) leo amefanya ziara maalum ya kutembelea na kukagua ujenzi wa miundombinu ya vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo na nyumba za walimu katika Shule 12 za Msingi na 03 za Sekondari, miradi iliyotekelezwa kwa fedha za EP4R kutoka Serikali Kuu.


Ziara hii imefanyika ili kuona hali halisi ya namna utekelezaji wa miradi hiyo ulivyofanyika na kuona upungufu ama uhitaji wa miundombinu ya ziada katika Shule hizo, kisha kujipanga kuja na mkakati maalum uitwao “BENKI YA MATOFALI” ambapo kila kata itakusanya matofali 6000 katika awamu ya kwanza.


Mhe. Mkuu wa Wilaya pia amesema lengo la kuanzisha benki hiyo ya matofali ni kutumia matofali hayo kwa ajili ya uboreshaji wa miundo mbinu katika Shule za Msingi na Sekondari ambayo ni vyumba vya madarasa, nyumba za walimu na matundu ya vyoo.


Shule zilizotembelewa katika ziara hii ni pamoja na Shule ya Msingi Mtakuja (Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa), ,

Shule ya msingi Mwavi (Chumba 01 cha darasa)

Shule ya Msingi Kifude ( Vyumba 02 vya madarasa)

Shule ya Msingi Miembe 7 (Vyumba 02 vya madarasa)

Shule ya Msingi Kongo (Vyumba 02 vya madarasa)

Shule ya Msingi Yombo (Chumba 01 cha darasa)

Shule ya Msingi Udindivu ( Vyumba 02 vya madarasa)

Shule ya Msingi Mapinga ( Vyumba 03 vya madarasa)

Shule ya Msingi Kerege ( Vyumba 04 vya madarasa)

Shule ya Msingi Ukuni ( Chumba 01 cha darasa)

Shule ya Msingi Kigongoni (Chumba 01 cha darasa)

Shule ya Msingi Nia njema ( Chumba 01 cha darasa)

Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Mapinga

Shule ya Sekondari KINGANI (Vyumba 02 vya madarasa na maabara)

Shule ya Sekondari Matimbwa (Nyumba 04 za walimu)

Shule ya SekondarinFukayosi (Vyumba 02 vya madarasa)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo