• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

BIDHAA ZILIZOKAMATWA KWA KUKWEPA USHURU ZAGAWIWA MASHULENI

Posted on: October 23rd, 2020

Bandari ndogo ya Bagamoyo imekuwa ikifanya kazi ya kusafirisha na kupokea bidhaa mbali mbali kwa ufanisi mkubwa huku Mamlaka ya mapato Nchini (TRA), Kitengo cha forodha Wilayani hapa kikihakikisha bidhaa zote zinazopitishwa katika bandari hiyo zinalipiwa ushuru ili kuimarisha ukusanyaji mapato Nchini.


Katika kuhakikisha ukusanyaji mapato ya Serikali kupitia ushuru wa kodi za bidhaa zinazopitishwa katika bandari ya Bagamoyo, Kitengo cha forodha kimekuwa kikifanya doria za mara kwa mara za majini na Nchi kavu, zinazosaidia kuimarisha ukusanyaji mapato.

Akitoa taarifa hiyo leo Oktoba 23, 2020 Meneja Forodha, Bandari ya Bagamoyo, Bw. Sebastian Malle amesema katika nyakati tofauti tofauti, doria hizo zimepelekea kukamatwa kwa bidhaa mbalimbali za magendo, zikiwemo bidhaa za sukari na Mchele ambazo zilikamatwa kwa kukwepa ushuru na kupita njia za panya.

“Tumekamata kiasi cha Kilo 345 za Sukari na Kilo 300 za Mchele aina ya Basmati,  na tunapokamata bidhaa hizi za magendo huwa tunafanya mawasiliano na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini, Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TMDA) na Taasisi ya udhibiti ubora Nchini (TBS), na baada ya wote kujiridhisha na ubora wa bidhaa zilizokamatwa, bidhaa zinazopasi ubora hutolewa kibali na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini cha kugawiwa kwa Taasisi zinazotoa huduma kwa Wananchi kama tunavyofanya leo na zile zinazoshindwa kupasi katika viwango vya ubora huwa tunafanya utaratibu wa kuziteketeza”. Amesema Bw. Malle

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiromo ni baadhi ya wanufaika wa mgao huo ambapo Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mwl. Hosea Maganga ameipongeza Mamlaka ya mapato Kitengo cha Forodha Wilaya ya Bagamoyo kwa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa lakini pia kwa kuwakumbuka na wao kunufaika katika mgao huo uliofanyika katika Ofiosi za Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.


Taasisi zilizonufaika na mgao huo ni pamoja na Shule zote za Sekondari za Kata Wilayani Bagamoyo, Taasisi ya Magereza na Taasisi ya kutoa huduma za kidini iitwayo Ramiya.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo