• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC KAWAWA AAGIZA TARURA KUONDOA VIFUSI VYOTE BARABARANI

Posted on: February 2nd, 2021

Mkuu wa wilaya ya bagamoyo amewataka wakala wa barabara mijini na vijijini (TARURA) kuondoa vifusi vyote ambavyo wamevimwaga barabarani kuviondosha mara moja katika sehemu zote walizomwaga vifusi hivyo katika barabara zote.

Ameyasema hayo hapo jana tarehe 1February 2021 wakati wa upitishaji wa Rasimu ya Mapendekezo ya Bajeti ya Maendeleo mwaka 2021/22 katika kamati ya Ushauri Wilaya ya Bagamoyo na kutoa maelekezo hayo wakati wa kikao hicho na kutoa muda wa siku moja kuondoshwa kwa vifusi hivyo.

Mhe Kawawa ameeleza changamoto hiyo ya vifusi vilivyopo barabarani kuwa ni kero kwa wananchi ambapo vinasababisha foleni,njia kuwa ndogo na magari kushindwa kupishana pia kusababisha kutokea kwa usumbufu huo

‘’nataka  vile vifusi viwe vimebadirika ama mviondoe kama hamtaki kurekebisha hizo barabara  lakini nisivikute kote mliko mwaga vifusi vyenu muende mkavitoe kama hamuwezi kuvisambaza’’ Alisema Mhe Kawawa

Aidha Mhe Kawawa pia amesema kuwa kulinagana na mapendekezo waliopendekeza kwenye rasimu ya mapendekezo ya bajeti 2021/22 kuhakikisha wanasimamia vizuri katika makusanyo ya mapato ya ndani vizuri ili kuweza kurahisisha katika utekelezaji wa majukumu na kuweza kujiendesha wenyewe bila ya kusubiri fedha kutoka serikali kuu


Pia Mhe Kawawa amesema kuwa kuwekwa kwa utaratibu mzuri wa matumizi ya rasilimali ya mapato pale ambapo wamekusanya na kuacha matumizi baya ya mapato hayo kwani itakuwa ni aibu kwa kutumia vibaya pasha za mapato ya ndani pasipo kufanya miradi ya maendeleo

‘’unaposema mwenzetu huyu tajiri lazima tuone utajiri wako upoje pia na matumizi yako yapoje na mipango yako ipoje ya fedha ambazo ulizokuwa nazo lazima tuweke utofauti katika matumizi yetu’’alisema Mhe Kawawa

Aidha Mhe Kawawa ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Bagamoyo kwa kupata mafanikio katika soko la samaki ambalo soko hilo linatarajiwa kuanza kwa ujenzi huku kikubwa akisisitiza nidhamu kwani mafanikio ya rasilimali fedha yanatokana na nidhamu nzuri ya kukusanya na nidhamu nzuri ya kutumia hivyo ni muhimu kuwa na nidhamu zote ili kuhakikisha mamabo waliyoyapnaga yanakwenda kama yalivyo andikwa.


Pia katika hatua nyingine Mhe Kawawa amegusia swala zima la usafi wa mazingira na kueleza kuwa ipo haja ya kuanza kutumia sharia elekezi kwa utupaji ovyo wa takataka na kutosafisha mazingira kwani kufanya hivyo itawafanya watu kuamka na kuanza kuwa hamasa ya kufanya kufanya usafi katika maeneo yao ili pia kuweza kufika malengo ya kuiweka bagamoyo katika hali ya usafi muda wote.

Katika  Kamati ya Ushauri Wilaya ya Bagamoyo (DCC) imepitisha Rasimu ya mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Maendeleo mwaka 2021/2022 kwa Halmashauri ya bagamoyo jumla ya kiasi cha Tsh 41,860,877,939.00 kwa halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kati ya fedha hizo Tsh.8,069,195,609 ni ruzuku ya miradi ya maendeleo,Tsh 28,128,366,330 mishahara na Tsh 3,854,020,000 ni mapato ya ndani.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo