• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DC SHAIBU HONGERENI KWA KUANZISHA MAKAO YA WATU WENYE UHITAJI...

Posted on: August 10th, 2025

Agosti 9,2025 Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Ndemanga ametoa pongezi kwa uongozi wa Baobab  Kwa kuanzisha Kituo cha watoto wenye uhitaji  kwani jamii inahitaji msaada mkubwa kwa watoto hao.

Mhe Ndemanga ametoa pongezi hizo wakati wa maafali ya darasa la saba shule ya awali na Msingi Baobab na kusema kuwa  “jamii endeleeni kushirikiana na wadau hawa waliojitoa kuanzisha makao haya kwa watoto wenye uhitahi kwa kuwaunga mkono kuwasaidia ili na wao waweze kutimiza malengo yao”.

Aidha Mhe  Ndemanga ameupongeza Uongozi wa Shule ya Baobab kwa kuwafundisha wanafunzi kuwa vizuri kujiamini katika kujieleza pamoja na ufaulu kwa ujumla na Amewataka pia kuendelea kufanya juhudi kubwa kuhakikisha watoto wote wanakuwa wanapata ufaulu wa juu  kwa wanafunzi wote.

Pia amesema kuwa ipo haja ya kuendelea kuwaandaa watoto hawa vizuri kwani ndio taifa la kesho hivyo wanahitaji maandalizi mazuri ili kuweza kuja kulisaidia Taifa letu  vilevile amewapongeza uongozi wa shule hiyo kwa kuona haja ya kuanzisha shule ya Amali ambayo itamsaidia mwanafunzi kuondoka na ujuzi ambao utamsadia kujiajiri.

Pia wametoa wito kwa wazazi kutopuuza elimu ya Amali kwani inamsaada mkubwa sana kwa Waanafunzi kwa kuwafundisha ujuzi ambao utakwenda kumfanya asiwe tegemezi bali itamfamfanya kwenda kujiarili kutokana na ujuzi huo.

Pia mhe Ndemanga amewaasa wanafunzi wa Darasa la saba ambao wanatarajia kufanya mitihani yao ya kuhitimu kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mitihani yao na kuwa na tabia njema pindi watakapo hitimi Elimu yao ya Msingi na kuwataka kujianda vizuri na Mitihani  yao ya kuhitimu.

Kwa upande wa wazazi wametakiwa kuendelea kuwapa kila aina ya ushirikiano wanafunzi hao  pindi wanapohitimu masomo yao pamoja na kuwa nao karibu na kuwatazama wanavipaji vya aina gani ili kuweza kuwaendeleza katika vipaji vyao na kutimiza ndoto zao Lakini pia Mhe Ndemanga amewataka walimu na wazazi kuendelea kuwafundisha watoto hao kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao kwa dhati kabisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BAGAMOYO AONGOZA KIKAO CHA WATUMISHI BAGAMOYO…

    August 12, 2025
  • DC SHAIBU HONGERENI KWA KUANZISHA MAKAO YA WATU WENYE UHITAJI...

    August 10, 2025
  • ELIMU YA LISHE YATOLEWA KWA WATAALAMU PAMOJA NA WAJASILIAMALI BAGAMOYO...

    August 07, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YAMEANZA JIMBO LA BAGAMOYO...

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo