• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DED BAGAMOYO AONGOZA KIKAO CHA WATUMISHI BAGAMOYO…

Posted on: August 12th, 2025

DED BAGAMOYO AONGOZA KIKAO CHA WATUMISHI BAGAMOYO…


Agosti 12,2025 Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw, Shauri Selenda amefanya kikao na watumishi wa Halmashauri kwa lengo la kujadili maswala mbalimbali ya Utumishi wa umma Pamoja na kupokea maoni kutoka kwa watumishi hao.

Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmsahuri hiyo watumishi kutoka Idara Pamoja na Vitengo mbalimbali vya Halmashauri walipata kushiriki kikao hicho ikiwa ni kikao cha kwanza cha robo toka kuanza kwa mwaka mpya wa fedha 2025-2026.

Wakati wa kikao hicho hoja mbalimbali za watumishi zilijadiliwa ikiwepo stahiki za watumishi,uwajibikaji wakati wa kazi nidhamu kazini Pamoja na kusikiliza changamoto ambazo zinawasibu watumishi hao katika utendaji wao wa kazi.

Aidha katika majadiliano hayo yaliyokuwa yanafanyika katika kikao hicho watumishi walitoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji kwa kazi kubwa na juhudi kubwa anazozifanya katika kuhakikisha Halmashauri inafanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato pampoja na kuzingatia Stahiki za watumishi Pamoja na kutenga fedha ya ununuzi wa bajaji tatu kwa ajili ya watumishi wenye uhitaji maalumu.

Mkurugenzi Mtendaji Bw Shauri Selenda nae amesema kuwa lengo lake ni kuhakikisha Halmashauri inazidi kupanda katika kukusanya mapato Pamoja na kutimiza malengo waliojiwekea kama Halmashauri katika Mwaka huu wa Fedha 2025-2026.

Pia Mkurugenzi ametaja vipaumbele vya Halmashauri ambavyo watavitekeleza katika kipindi cha mwaka 2025-2026 na kusema kuwa  Halmashauri ina mpango wa kuhakikisha wanajenga soko la udindivu na soko la KwaKibosha,Wanaendeleza mpango wa ujenzi wa Jengo la Halmashauri,Kuhamisha Dampo la Sanzale,Kununua Bajaji tatu za watumishi wenye uhitaji maalumu,ukusanyaji wa mapato,kuhakikisha kila kipande cha Halmashauri kinaiingizia mapato Halmashauri kwa usimamizi mzuri kutoka katika kila Idara.


 

@ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_makamu_wa_rais 

@ortamisemi @owm_tz @ofisi_ya_rais_utumishi 

@ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_wa_pwani @harvesttimeradiotz

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BAGAMOYO AONGOZA KIKAO CHA WATUMISHI BAGAMOYO…

    August 12, 2025
  • DC SHAIBU HONGERENI KWA KUANZISHA MAKAO YA WATU WENYE UHITAJI...

    August 10, 2025
  • ELIMU YA LISHE YATOLEWA KWA WATAALAMU PAMOJA NA WAJASILIAMALI BAGAMOYO...

    August 07, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YAMEANZA JIMBO LA BAGAMOYO...

    August 04, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo