• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KAMATI YA FEDHA, UCHUMI NA MIPANGO YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI.

Posted on: April 28th, 2021

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga  imefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi unaoendelea katika shule za sekondari pamoja na kufanya ukaguzi  wa mapato katika mashimo ya mchanga Kiromo,minada ya samaki pamoja na duka la dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.

Kamati ya Fedha ,Uongozi na Mipango imefanya  ziara hiyo tarehe 28 Aprili 2021 kwakutembelea shule ya sekondari Hassanal Damji ili kufahamu maendeleo ya ujenzi wa maabara ya sanyansi ambayo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika tarehe 30 mwezi Mei ikiwa tayari imekwisha pata fedha za maendeleo milioni 33 ili kukamilisha ujenzi wa maabara hiyo.

Katika hatua hiyo waliofikia wanakabiliwa na changamoto ya kupanda kwa bei za vifaa hata hivyo, mwenyekiti wa kamati ya ujenzi amesema kuwa wanaendelea kufanya jitihada ili kuweza kutatua tatizo hilo ili kuhakikisha kuwa ujenzi huo unamalizika kwa wakati uliopangwa.

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Kamati yake  wametembelea pia ujenzi wa nyumba ya watumishi wa kituo cha afya Matibwa na kukosoa  hatua walio fikia huku mafundi hao wakati  mradi huo wa ujenzi umepata fedha za mnaendeleo kiasi cha shilingi milioni 20 ili kukamilisha ujenzi wa nyumba hiyo ya watumishi wa afya.  ‘’ Inasikitisha kuona mradi huu wa ujenzi wa nyumba umechukua muda mrefu, karibu miaka sita, wakati huo napigania udiwani awamu ya kwanza  lakini hadi sasa umekwama pamoja na fedha zote zilitolewa  kwa umetuangusha’’ alisema Mhe.Usinga .

Hata hivyo alimuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo  kupeleka  Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri  ili kujiridhisha na matumizi ya fedha zilizotolewa na kuagiza  Kamati ya ujenzi ya Kijiji hicho kumaliza mradi huo kwa gharama ya Kijiji vinginevyo watawajibishwa kwa kutowajibika ipasavyo.

Pia Kamati hiyo  ilitembelea kata ya Kiromo kukagua mapato katika machimbo ya mchanga ,Duka la dawa katika hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo,Minada ya Samaki,Ujenzi wa Bwalo la chakula shule ya sekondari Kingani,pamoja na kukagua hali ya standi ya mabasi yanayofanya safari za Bagamoyo –Dar es salam.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo