• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

kikao maalumu cha kamati ya wataalamu C.M.T kupokea na kujadilimmapitio ya mpango na bajeti kwa mwaka 2020/2021 na mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2021/2022.

Posted on: January 25th, 2021

Katika kikako hicho kilichojumuisha Baraza la Wafanyakazi wakiwemo wajumbe kutoka vyama mbalimbali vya wafanyakazi wakuu wa idara pamoja na afisa utumishi mabae alikuwa ni mwenyekiti wa kikao kwa niaba ya mkurungenzi kilichofanyika hapo jana Januari 25.

Akizungumza na wajumbe waliohudhulia kikao hicho Afisa Mipango na kueleza muhtasari wa mapendekezo ya mpango wa bajeti ya halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022,na kueleza kuwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 halmashauri ya wilaya ya bagamoyo ilikisia  ilikusanya jumla ya Tsh 32,181,594,033.00 kutoka katika vyanzo mbalimbali yakiwemo mapato ya ndani,mishahara,matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo. Aidha hadi kufikia June 2020 jumla ya Tsh 23,292,437,262.00zilikuwa zimekusanywa ikiwa ni sawa na asilimia 72 ya lengo.

Aidha katika kipindi hicho cha mwaka wa fedha 2019/2020 kuna mafaniko mengio yaliyo patikana ikiwemo Halamashauri kupitia idara ya Elimu Msingi na Sekondari imepata mafanikio makubwa  kupitia fedha za EPN4R idara ya elimu msingi imefanikiwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa 19 katika shule za msingi na matundu ya vyoo 19 katika shule 4 vyumba vyote na matundu ya vyoo vyote vimekamilika.

 Idara ya Elimu Sekondari katika mwaka wa fedha 2020/2012 ilipanga kutekeleza jumla ya miradi 13 yenye gharama ya Tsh 440,000,000/=kwa ajili ya utekelezaji wa miradi 8 ya maendeleo changamoto ni kutopokea fedha zozote za utekelezaji wa miradi hyo idara pia imetekeleza miradi 20 yenye thamani ya Tsh 79,950,000/= iliyo nje ya bajeti kutokana na vyanzo vya EPN4R Tsh 540,000,000/= na vyanzo vya ndani Tsh 79,950,000/=hadi sasa irada ikiwa imepokea Tsh 28.504,008/=san a asilimia 35.7% aidha katika mwaka wa fedha idara  ya elimu sekondari inatarajia kutekeleza miradi 04 yenye thamani ya Tsh 450,000,000,/=

Aidha pia idara inakusudia kujenga shule mpya 03 katika kata za Makurunge,Nianjema,na Mapinga ujenzi wa shule hizi utapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto za kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 ufaulu umekjuwa ukipanda mwaka hadi mwaka na kufanya Halmashauri izidi kuwa bora kitaaluma kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa kidato cha nne nafasi ya kumi kitaifa kwa mtihani wa kidato cha pili.

Katika mwaka wa fedha idara ya maendeleo ya jamii inatarajia kutumia kiasi cha Tsh 265,289,299.00/= kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kawaida za idara kati ya fedha hizo Tsh 8,891,299.00 ni ruzuku kutoka serikali kuu (block Grant ) na kiasi cha Tsh 256,398,000.00/= ni fedha zinazoombwa kutpka mapato ya ndani.

Aidha katika idara ya maendeleo ya jamii imefanikiwa kutoa mikopo kwa vikundi 28 (vijana vikundi 12,wanawake vikundi 12 na watu wenye ulemavu 4) pia changamoto zilizopo ni ufinyu wa bajeti kwa ajili ya uendeshaji kwa mifuko ua wanawake vijana na walemavu ba baadhi ya vikundi kutoirejesha kwa wakati na wengine kutorejesha kabisa.

Pia idara imejiwekea mikakati endelevu ya kuendelea kupanga kwenye bajeti shughuli za uendeshaji wa mifuko ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu kuendelea kufanya ufuatliaji wa marejesho kwa vikundi sugu.

Wajumbe wa baraza la wafanya kazi wameiomba Halamashuri ya Wilaya ya Bagamoyo kuangalia upya uwezekano wa kulipa madeni yaliyokuwa sugu hasa katika idara ya afya kwani kuna malimbikizo mengi ya madai ya fedha za watumishi hao wa hospital ya wilaya ya bagamoyo ikiwemo madai ya pesa za likizo,madai ya pesa za muda wa ziada.

Kutokana na madeni hayo kaimu mganga mkuu amesema kuwa amepokea changamoto hizo na kusema kuwa watafanyia kazi pindi watakapo kaa kwa pamoja na kuangalia ni njia gani ambayo wataitumia ili kuhakikisha wanalipa madni madeni hayo taratibu mapaka pale yatakapoisha.

Wajumbe pia wameridhia na kupitia bajeti iliyojadiliwa katika idara tofauti tofauti na kuomba kuwa wafanya kazi kwa juhudi pamoja na kushirikiana kwa pamoja ili kuweza kutekeleza majukumu ambayo yapo mbele yao na kuendelea kusistiza kulipwa kwa madai yote ya watumishi pamoja na kuweka utaratibu mzuri wa kulipa pesa za kazi za muda wa ziada.

Nae Afisa Utumishi George Mwalukasa amewaomba watumishi wote pamoja na wakuu wa idara kufanyia kazi mambo walioyajadili ikiwemo pamoja na changamoto pamoja na kuangalia namna nzuri ambayo itatumika katika kulipa madeni hayo pia kutatua changamoto zilizopo na kufanya kazi kwa umakini mkubwa na kujitoa kwa kila hali ili kuweza kufikia malengo walio jiwekea.  

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo