• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KONGOLE BAGAMOYO KUPATA HATI SAFI KWA MIAKA MINNE MFULULIZO:RC NDIKILO

Posted on: May 8th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imefanikiwa kupata Hati safi kwa ukaguzi wa hesabu za Mwaka 2018/2019 uliofanywa na Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa hiyo imetokewa katika Mkutano Maalum wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, na Mkaguzi toka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na Udhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwajuma Kwipunda, alipokuwa akisoma taarifa ya Ukaguzi iliyofanywa na Ofisi yake kwa hesabu za Mwaka wa fedha 2018/2019 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Nae Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kufanya kazi kwa weledi na kujituma kulikopelekea mafanikio hayo.

“Nawapongeza sana kwa kufanikiwa kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo, haya matokeo ya ufanyaji kazi kwa ushirikiano baina ya Mkurugenzi, Waheshimiwa Madiwani na watendaji ambao mmefanya kazi kwa kuzingatia, weledi, sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa umma, Hongereni sana” Amesema Mhe. Ndikilo

Ameongeza, “Hii inaonesha uwezo wenu mkubwa wa kusimamia Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kama inavyoonekana na kusomeka katika Ibara ya 148 Uk 162, hakika mmesaidia Mhe. Rais John Pombe Magufuli kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa kusimamia shughuli zote za Serikali kwa weledi katika Halmashauri pia kwa kuhakikisha fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo zinatumika kukamilisha lengo lililokusudiwa la miradi hiyo kutekelezwa kwa wakati hivyo kumaliza kero kwa Wananchi

Mhe Ndikilo ametumia fursa hiyo pia kutoa maagizo kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuhakikisha kuwa hoja 38 ambazo bado hazijaungwa zinajibiwa na kwasilishwa Mkoani ndani ya Siku 7 huku akisisitiza watendaji wa Halmashauri kuendelea kufanya kazi kwa weledi ili kuepuka kuzalisha hoja na kuagiza kuwa Mtendaji yeyote wa Halmashauri, atakayezalisha hoja bila sababu za msingi na kuisababishia Halmashauri hasara, basi Uongozi wa Halmashauri kupitia baraza la waheshimiwa Madiwani, usisite kumchukulia Mtendaji huyo hatua za kinidhamu na za kisheria mara moja ili iwe fundishio kwa watendaji wengine.


Nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Alli Alli Issa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Fukayosi, amesema watayafanyia kazi kikamilifu maagizo yaliyotolewa na Mhe. Mkuu wa Mkoa ili kuimarisha utendaji kazi wa Halmashauri na kuhakikisha Halmashauri inaendelea kupata hati safi kwa miaka ijayo hivyo akatumia fursa hiyo kumwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuhakikisha hoja hizo zinafungwa ndani ya siku7 kama ilivyoagizwa na Mhe. Mkuu wa Mkoa na majibu yake kuwasilishwa Mkoani

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo