• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAAFISA UGANI BAGAMOYO WAPATA ELIMU JUU YA KILIMO CHA KISASA CHA MIWA

Posted on: September 17th, 2020

Katika kutekeleza maagizo maalum ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim majaliwa Majaliwa aliyoyatoa tarehe 18 Agosti, 2020 alipotembelea kiwanda cha Bagamoyo Sugar Company Limited Makurunge, katika ziara maalum ya kuona uendelevu wa mradi huo, Idara ya Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, imewapeleka Maafisa ugani kutoka katika Kata zote 11 za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo katika kiwanda cha Bagamoyo Sugar ili kujionea kilimo cha miwa kinavyotekelezwa kisasa katika mradi huo ili waweze  kuhamasisha jamii wanayoihudumia katika Kata zao, kuanza kufikiria kuhusu kilimo cha miwa,  kwani Kiwanda cha Bagamoyo Sugar katika awamu ya pili ya utekelezaji wa mradi huo, itatumia utaratibu wa wakulima wa nje, almaarufu kama “Outgrowers scheme”

Kwa muda mrefu Wakulima wa Bagamoyo wamejikita katika zao la korosho, mihogo na mananasi kibiashara, lakini ni ukweli usiopingika kuwa uwepo wa kiwanda cha Bagamoyo Sugar Co. ltd, ni fursa nyingine kwa wakulima wa Bagamoyo kuondokana na umasikini kwa kujikita katika kilimo cha miwa, kwani kiwanda hiki kitawapatia fursa ya uhakika wakulima hao kuuza miwa kiwandani hapo ili itumike katika kiwanda cha sukari kinachotarajiwa kuanza uzalishaji mnamo Mwezi Novemba 2022.

Maafisa ugani toka Kata 11 za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo wakiwa katika kiwanda cha Bagamoyo sugar, wamepata mafunzo maalum juu ya namna bora ya kulima zao la miwa katika ukanda huu wa Pwani, iliyotolewa na Bw. Naarayan Krishnasamy ambaye ni Meneja mradi upande wa Shamba la miwa kisha kufanya ziara fupi kujionea namna kilimo cha miwa kwa njia ya umwagiliaji kinavyofanyika shambani hapo, upandaji wa miwa kisasa, nursery za miwa na aina mbalimbali za mbegu za miwa zikiwa shambani na mwisho walipata elimu ya namna ya kupima udongo na maji katika maabara maalum ya udongo na maji iliyopo katika mradi wa Bagamoyo Sugar Company Limited.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo