• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YAMEANZA JIMBO LA BAGAMOYO...

Posted on: August 4th, 2025









MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YAMEANZA JIMBO LA BAGAMOYO.   



Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata jimbo la Bagamoyo, Mkoa Pwani wametakiwa kufuata, kanuni na miongozo ya Tume huru ya uchaguzi ili kuufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na wahaki.


Hayo yamesemwa leo na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo  la Bagamoyo, Bw Elinifaraja Mporere wakati akifungua semina ya siku tatu ya mafunzo kwa maafisa wasaidizi ngazi ya Kata kwa Halmashauri ya wilaya Bagamoyo yanayoendelea kwenye chuo cha Wakala wa uongozi wa elimu Bagamoyo-ADEM.


“Nawaasa wana mafunzo wote kuhakikisha kuwa kanuni, taratibu na miongozo ya ya Tume huru ya uchaguzi inafuatwa ili kuondoa malalamiko kwa wadau wa uchaguzi na vyama vya siasa” amesema Mporere.


Amesema kuwa anaimani kubwa na maafisa wote ambao watashiriki kwenye tukio hili kubwa la kupata viongozi wapya kwa upande wa Rais, Ubunge na Udiwani.

Mafunzo haya ya siku tatu yanaendeshwa na maafisa wasaidizi ngazi ya Jimbo la Bagamoyo kwa malengo ya kuongeza uelewa kuhusu uchaguzi na kujifunza mambo Mahsusi  yanayotakiwa kuyafuata.

@ikulu_mawasiliano

@tumeyauchaguzi_tanzania 

@ofisi_ya_makamu_wa_rais 

@owm_tz
























Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA LISHE YATOLEWA KWA WATAALAMU PAMOJA NA WAJASILIAMALI BAGAMOYO...

    August 07, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YAMEANZA JIMBO LA BAGAMOYO...

    August 04, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA WATAALAM KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO TAREHE 31.07.2025...

    July 31, 2025
  • AFISA ELIMU AWALI NA MSINGI AFANYA KIKAO NA WALIMU WAKUU..

    July 16, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo