• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO YA UWAWA KUSAIDIA KUTEKKELEZA MALENGO YA ELIMU BAGAMOYO..

Posted on: March 20th, 2023

Ushirikiano kati ya Walimu wakuu,Wazazi au Walezi na Wenyeviti wa  Kamati za shue imetajwa moja ya nguzo muhimu katika kuleta afanisi wa  maendeleo ya elimu katika madarasa ya awali na msingi  Halmshauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

      Akifungua Mafunzo ya siku 3 ya Uongozi na Uhuishaji wa Ushirikiano wa Wazazi na Walimu (UWaWa) leo tarehe 20 Marchi 2023 Mjini Bagamoyo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wiliya ya Bagamoyo Bw Majid Mhina alisema kuwa, dhana ya ushirikiano kati ya Walimu, Wazazi na Wenyeviti wa Kamati za Shule ndio  nguzo pekeee itakayosadia kukuza maendeleo ya elimu katika Shule zetu.

       Mafunzo hayo ya kuanzisha umoja wa Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi (UWaWa) hapa Bagamoyo yanatolewa kwa Walimu Wakuu,wenyeviti wa Kamati za Shule pamoja na Waratibu Elimu Kata 91 kutoka kata zote 11za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo   yakiwa na lengo la kukuza ushirikiano kati ya Wazazi na walimu, kutokomeza utoro mashuleni,mimba, na upatikanaji wa chaku katika shule pamoja na usalama wa wanafunzi kwa ujumla wake. ‘’ Ni mategemeo yangu kuwa baada ya mafunzo haya yataleta tija kwenu pamoja na jamii katika maaneo yenu ‘’ alisema Bw Mhina. Hata hivyo Kaimu Mkururugenzi alitaoa maagizo kadhaa  kwa wanasemina  baada ya mafunzo ya UWaWa washikiriki katika maeneo yao kufuatilia kwa karibu masuala ya ufaulu, upatikanaji wa chakula mashuleni,Mazingira bora ya Shule pamoja na kuwafundisha wanafunzi wetu dhana ya Elimu ya Kujitegemea.

         Kwa upande Afisa Elimu ya Awali na Msingi Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo Bi Wema Kajigili aliwashukuru Walimu,Maafisa Elimu Kata pamoja na Wenyeviti wote wa Kamati za Shule katika Halmashauri ya Bagamoyo kwa ushirikiano wao na kuifanya Halmshauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuongoza katika Nyanja zote za kieleimu Mkoani Pwani.  ‘’Tunajivunia kwa ushirikiano huu umetuwezesha kuongoza ufaulu katika mitihani kwa 94% hay ani mafanikio makubwa sana Kimkoa’’ Alisema Bi Kajigili.

             Mafunzo ya Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi (UWaWa) yanafadhiliwa na Mradi wa Elimu Bora kupitia Ufadhili wa Serikali ya Uingereza (UK Aid) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Ofisi Rais TAMISEMI.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo