• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MAFUNZO YA UWAWA YAENDELEA BAGAMOYO..

Posted on: March 21st, 2023

Mafunzo ya Siku 3 ya Uongozi ya Uhuishaji wa Ushirkiano kati ya Wazazi na Walimu(UWaWa) yanayojumuisha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi, Maafisa Elimu Kata na Wenyeviti wa Kamati za Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo yameendelea  katika Shule ya Sekondari Bagamoyo Mkoani Pwani.

      Mafunzo hayo yenye lengo la kuanzisha umoja wa Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi (UWaWa) katika shule za Msingi 40 kutoka Kata zote 11 za  Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo yana lengo la kukuza Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi ili kutokomeza utoro Mashuleni, kupunguza  mimba mashuleni, kuongeza ufaulu, upatikanaji wa chakula mashuleni pamoja na  masuala  ya usalama  wa Watoto.

             Wakizungumza kwa nyakati tofauti Wanasemina hao walitoa ushuhuda wa dhati kwa jinsi gani wanavyojidhatiti kupunguza au kukomesha kabia utoro katika shule zao. Mzee Abubakar Mposso Mwenyekiti wa Kamati  Shule ya Msingi Mbarouk Bagamoyo alisema kuwa, kuna utoro wa aina mbili rejareja na utoro sugu.

‘’ Kwa upande wetu nasema kuwa, utoro upo wa \rejareja na utoro sugu , kwa utoro sugu tunachofanya kwa kumtambua mtoto husika  na kuwasiliana na wazai wake pamoja na Uongozi wa Kitongoji pamoja na mrattibu Elimu Kata kwa kutumia Polisi Kata tunashirikiana kumtafuta mwanafunzi husika mpaka apatikane. Kwa kiasi kikubwa tumeweza kudhibiti utoro katika Shule yetu’’  Alisema Mzee Mposso.  

       Kwa upande wake Mwalimu Fatuma Fereji Afisa Elimu Kata Zinga anahusisha utoro kwa wanafunzi kutokana na sababu mabalimbali zikiwemo mataizo ya kifamiliya, uhaba wa Chakula katika familiya duni kuwafanya Watoto kwenda kuhangaika kujtafutia chakula. ‘’Kwa upande wetu utoro ni tatizo sugu na linatusumbua sana, ila kwa sasa tunatatua changamoto hizi kwa kuongea na walimu wa madarasa kuwabainisha watoro wote na kuwajulisha Wazazi wao pamoja na wenyeviti wa vitongoji na Afisa Mtendaji Kata. Tunakutana pamoja na Watoto na kupanga mkakati wa kuwarudisha shuleni, sio hivyo tuu Wenyeviti wa Vitongoji mafano Zinga Mshikamano wanapita nyumba kwa nyuma kuhamasisha masuala ya utoro’’ Alisema Bi Fereji. Hata hivyo Afisa Elimu Kata huyo alishauri suala la upatikanji wa Chakula ni iwe kipaumbe hii itapunguza kwa utoro kwa aslimia kubwa kwa Watoto wengi wanatoka katika familya maskini.

       Mafunzo ya Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi (UWaWa) yanafadhiliwa na Mradi wa Elimu Bora kupitia Ufadhiliwa Serikali ya Uingereza (UK Aid)  kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo