• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKUU WA MKOA WA PWANI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA..

Posted on: January 30th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Mhe.Abubakar Kunenge leo Januari 30,2023 amewaapisha Wakuu wa Wilaya wawili walioteuliwa na Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan hivi karibuni.

Walioapishwa ni Mhe.Col.Samwel Kolombo anayekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti na Mhe.Zephania Sumaye   Mkuu wa Wilaya ya Mafia.

Mhe.Kunenge amesema Mkoa wa Pwani ni Mkoa wa uwekezaji wa Viwanda hivyo ametoa rai kwenda kuboresha maeneo wa uwekezaji ili kuwavutia wawekezaji kwani kwa kufanya hivyo ni kupanua wigo wa vyanzo vya Mapato.

"Mtangulizeni Sana Mwenyezi Mungu awaongoze,msimpendelee mtu wala kumnyima Mtu haki yake.Mkashirikiane na kamati za amani katika maeneo yenu kutatua migogoro"

Aidha,amewataka Wakuu wa Wilaya kuwa tayari kujifunza kutoka kwa wengine ili waweze kuwasaidia wananchi wao vizuri.

Awali Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Zuweza Jiri amewapongeza Wakuu wote wa Wilaya kwa kuaminiwa na kuteuliwa kushika nyidhifa hizo na kwamba Sasa kazi ni moja ambayo ni kuwatumikia wananchi kikamilifu huku suala la kukusanya Mapato ikiwa ni kipaumbele nambari moja.

Jiri amesema kuwa wananchi wanahitaji nishati ya Umeme,Maji,Barabara hali kadhalika wanahitaji  Elimu lakini yote haya yanahitaji fedha.Nendeni mkasaidie kukusanya Mapato lakini pia mkadhibiti upotevu wa Mapato yaliyokusanywa.Hii ni timu Pwani tukatekeleze kwa ushirikiano amesema Jiri.

Katika hatua nyingine Shekhe wa Mkoa wa Pwani Khekhe Abbasi Mtupa amewataka Wakuu wa Wilaya kuwa wanyenyekevu wakati wa kuwahudumia wananchi kwani kufanya hivyo Kuna thawabu nyingi mbele za Mungu.

Mkoa wa Pwani una Wilaya Saba na jumla ya Halmashauri tisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo