• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ATOA ONYO KALI KWA WAFANYA BIASHARA.

Posted on: December 7th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Mhe Zainab Abdallah ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara za dawa na vifaa tiba bila kupata kibali kutoka kwa mamlaka husika na kuwataka kuacha biashara hizo mara moja ili kuepika hatua kali za kisheria dhidi yao.

Akizungumza wakati wa kikao cha uhamasishaji wa kazi za TMDA kwa viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Bagamoyo kilichofanyika katika ukumbi wa ndani wa Tasuba Bagamoyo tarehe 7 Desemba 2021.

Mhe Zainab Abdallah amesema kuwa ni kosa kisheria kufanya biashara ya dawa na vifaa tiba bila kupata kibali kutoka katika mamlaka husika na hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wafanyabiashara wote ambao hawajafata taratibu za kisheria na bado wanaendelea kufanya biashara hizo za dawa na vifaa tiba.

Pia Mkuu wa Wilaya amesisitiza kuwa atashiriki kikamilifu kwa maslahi mapana kwa wanabagamoyo wote  wakati wa zoezi la ukaguzi ili kuhakikisha wafanya biashara wote wanaohusika na kufanya matendo amabyo ni kinyume na taratibu na sheria wanachukuliwa hatua haraka iwezekanavyo

Nae Meneja wa kanda ya Mashariki Adonis Bitegeko amesema kuwa lengo kuu la kufanya kikao hicho ni kuwaelimisha,kupanga mikakati,majukumuu ya TMDA kwa  viongozi na watumishi wa Halmashauri Pamoja na kufanya uhamasishaji wa kazi za Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba

Pia ndg Adonis amesema kuwa kupitia sheria ya dawa na vifaa tiba sura namba 219 kuna majukumu ambayo yamekasimiwa ya TMDA na Waziri wa Afya kwenye ngazi za Halmashauri ambayo yanahusiana na ukaguzi wa Dawa vifaa tiba na vitengenishi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo