• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

RAS MPYA PWANI AFANYA ZIARA YA KUJITAMBULISHA BAGAMOYO

Posted on: May 15th, 2020

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt. Delphine Magere, amefanya ziara ya kujitambulisha leo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, na kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri wakiongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Fatuma O. Latu

.

Katika ziara hiyo Katibu Tawala Mkoa alianzia ziara yake Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ambako alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Bi. Zainab Kawawa kabla ya  kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Serikali Kiwilaya, Taarifa iliyosomwa mbele yake na Katibu Tawala Wilaya Bi. Kasilda Mgeni.


Aidha, katika ziara hiyo, Katibu Tawala Mkoa, Dkt. Delphine Magere amesisitiza ushirikiano baina ya Watumishi wa Halmashauri na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani ili kurahisisha utendaji kazi na utoaji huduma kwa wananchi.

Dkt. Magere pia ametumia fursa hiyo kueleza vipaumbele vyake kuwa ni kuhakikisha Halmashauri inaimarisha ukusanyaji mapato ya ndani, Kuimarisha utoaji huduma za utalii na kutunza miundombinu ya utalii, kuimarisha na kuboresha utoaji huduma kwa wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa, kuboresha miundombinu ya uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani na wan je, kuboresha utoaji huduma za ugani kwa wakulima na wafugaji na mwisho ni uboreshaji wa fursa na miundombinu ya uwekazaji wa viwanda, kwani shughuli hizi za ni shughuli mama katika ukuzaji uchumi wa Halmashauri, Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Kabla ya uteuzi wake Dkt Magere alikuwa akitekeleza majukumu yake Ofisi ya Rais Ikulu akishughulikia masuala ya Uchumi na amechukua nafasi ya Bi. Theresia Mmbando ambaye amestaafu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo