• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

TUDUMISHE USAFI KATIKA WILAYA YETU

Posted on: January 9th, 2021

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi Fatuma O.Latu amewaongoza wananchi wa kata ya Dunda kitongoji cha Mangesani kusafisha mazingira,kuzimbua mitaro ambayo inapitisha maji pamoja na kukata mataji yalio pembezoni mwa barabara.

Zoezi hilo limefanyika Januari  9/2021 kuanzia saa kumi na mbili asubui hadi saa nne asubui na kuhudhuliwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo,Diwani wa kata ya Dunda,watumishi wa Halmashauri pamoja na wananchi mbalimbali wa kitongoji hicho.

Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo la usafi mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya bagamoyo Bi Latu amesema kuwa hii ni wiki ya tatu mfululizo ya zoezi la usafi kwenye kitongoji cha mangesani kwenye kusafisha mtaro mkubwa uliotengenezwa kwa ajili ya kupitisha maji maeneo ya mjini kwenda baharini.

Bi Latu pia amesema maeneo hayo yamekuwa machafu sana na hali ya usafi imekuwa sio nzuri hivyo waneanua wakati wakati wanazindua baraza jipya  la halmashauri na kuazimia kuwa wanafanya usafi kila wiki kuanzia vitongoji vya mjini,kata ya dunda kwa kushirikisha wananchi  ili waweze kuona umuhimu wa usafi kwa vitendo.

Aliendelea kwa kutoa rai kwa wananchi wa Bagamoyo kujitokezza kwa wingi kufanya usafi kwenye maeneo yao,maeneo ya maduka ,maeneo yote ya biashara na maeneo ya makazi na kuomba ushirikiano kwa wananchi wote kufanya usafi kwenye maeneo yao ili kutii sharia bila shuruti.

‘’mkakati uliokuwepo ni kupita maeneo yote,mtaa kwa mtaa kuhakikisha kuwa maeneo yanakuwa masafi na zoezi hili ni endelevu na tumelianza kwa vitendo ili watu waweze kuona hivyo ni vema kwa wenyeviti wa vitongoji kuaamasihsa wananchi wao kufanya usafi ili mji uweze kuwa safi’’alisema Bi Latu

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe Mohamed A Usinga amesema kuwa malengo yaliyokuwepo ni bagamoyo lkuwa mji  na huwezi kupata nafasi ya kuwa mji kama mazingira yako yakiwa sio rafiki hivyo zoezi hili litakuwa linafanyika kila jumamosi ili kuhakikisha mazingira yakuwa salama na safi muda wote.

Zoezi la usafi katika wilaya ya bagamoyo ni zoezi endelevu likiwa na lengo la kufanya Wilaya yote ya Bagamoyo inakuwa safi ili kuweza kutimiza malengo yao ya kuwa mji na pia kuendelea kuvutia watu mbalimbali kutembelea Wilayani humo ili kuweza kuzama vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo katika Wilaya hiyo..

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo