• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WADAU WA ELIMU,MKUU WA WILAYA WAKETI PAMOJA.

Posted on: September 22nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainab Abdallah akutana na Wadau wa elimu kujadili mafaniko ya elimu na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo katika ukumbi wa Mikutano Stella Maris Hotel tarehe  22 sept 2022

Katika Mkutano huo Mkuu wa Wilaya na  wa Wadau  wa Elimu Pamoja na Pamoja na maafisa kutoka Halmashauri na ngazi za kata wamekubaliana kusimamia maazimio yote walio jiwekea katika kikao hicho ambacho hufanyika kila mwaka kufanya tathmini ya Elimu.

Katika maadhimio yaho moja ya maadhimio ni kuhakikisha wadau hao wa Elimu wanakutana mara mbili kwa mwaka ili kuweza kufanya tathmini na kutambua changamoto na utatuzi wa changamoto kabla ya kufunga mwaka na kuanza mwaka mwingine.

Pia  Kuweza kuanzisha Wiki ya Elmu ambayo itaziunganisha Halmashauri zote mbili ikiwa ni Halmashauri ya Bagamoyo na Chalinze  ili kuweza kutoa tuzo sekta ya Elimu Msingi na Sekondari kwa shule zitakazofanya vizuri kitaaluma kwa Shule zilizofanya vizuri.

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainab Abdallah, katika kikao cha wadau wa Sekta ya Elimu kilichoandaliwa na Halmashauri ya Bagamoyo.

"Wilaya yangu ya Bagamoyo mikakati yangu na kipaumbele changu Cha kwanza Elimu nimejipanga kutoa tuzo sekta ya eliimu kwa shule zitakazofanya vizuri elimu msingi na sekondari tutakuwa na wiki la elimu katika kilele chake zinatolewa tuzo hizo kwa shule zitakazofanya vizuri na zisizo fanya vzuri pia " alisema Zainab.


Mkuu wa Wilaya Zainab Abdallah amesema tuzo izo zitakazo tolewa katika wiki hilo la Elimu zitajumuisha watu wote ambao watakuwa wamefanya vizuri sana katika Wilaya huku akieleza baadhi ya zawadi ambazo washindi watapata pindi itakapo fikia Wiki hiyo ya Elimu

‘’zawadi hizo zitakazotolewa zikiwemo nyumba na wataalikwa viongozi wa Kitaifa katika makabidhiano hayo Ili kuwapa hamasa kila mwaka waweze kufanya vizuri kitaaluma sambamba na katika matokeo yao ngazi ya Kata ,Wilaya ,mkoa mpaka Taifa’’ amesema Mhe Zainab.

Pia amesema  serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inatoa Elimu bila malipo hivyo amewataka Wazazi kushirikiana na Walimu na wadau wa Sekta ya Elimu Ili Wanafunzi waweze kusoma kwa bidii na kuongeza ufaulu Wilayani Bagamoyo .

Sanjari na hayo amesema  katika Wilaya ya Bagamoyo kipaumbele chake cha kwanza Wilayani Bagamoyo ni Elimu amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza sekta elimu ambapo alitoa pesa za Ujenzi wa madarasa nchi nzima ikiwemo Wilaya Bagamoyo .

Pia Amewapongeza Afisa Elimu Msingi na Awali  Halmashauri ya Bagamoyo Bi Wema Kijigili Kwa utendaji wake wa kazi mzuri sekta ya Elimu Msingi awli  pamoja na Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya Ndg. Aloyce Kaziyareli .

Afisa Elimu Msingi na awali Wema Kijigili alisema kuwa lengo kuu la kikao cha leo ni kujadili chamgamoto za Elimu Pamoja na kutafuta uvumbuzi wa changamoto hizo Pamoja na kuzindua mwongozo Elimu  wa shule ya Msingi na Sekondari sambamba na kujiwekea maazimio ambayo ndio yatakayotumika pia kutatulia chnagamoto zilizopo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo