• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WEKENI MIKAKATI MADHUBUTI KUDHIBITI MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI: RC NDIKILO

Posted on: December 1st, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe Eng Evarist Ndikilo amewataka Viongozi na Wadau mbalimbali Mkoani Pwani kuweka Mikakati madhubuti  kupambana na kushusha maambukizi ya VVU Mkoani hapo.

Ametoa agizo hilo Desemba 1,2020 wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI  Duniani yalifanyika kimkoa Wilayani Bagamoyo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Majengo.


Akizungumza na Wanachi hao Ndikilo amesema Takwimu zinaonesha kiwango cha maambukizi Kimkoa Kimepungua kutoka asilimia 5.9 mwaka 2012 hadi asilimia 5.5 mwaka 2017. "Maambukizi yamepungua ingawa bado tupo juu ya Wastani wa kitaifa ukilinganishe  na kile cha Taifa cha asilimia 4.7"


Ndikilo ametaja Halmashauri ya Kibaha Mji, Mkuranga na Chalinze kuonekana kuwa na maambukizi mengi kutokana na uwepo wa Shughuli nyingi za mwingiliano wa kiuchumi.


Akisisitiza Upimaji wa Hiari  Ndikilo amesema Idadi kubwa ya wanaopima ni Wanawake  ukilinganisha na Wanaume. Amewataka wanaume kuacha uoga wa kupima VVU.Aidha, Amewataka Waishio na Virusi vya UKIMWI  wasibweteke na kufubazwa kwa  VVU na kuanza  mienendo isiyofaa." Naomba muendelee kufuata maelekezo ya wataalamu ili kulinda afya zenu"


Akitaja Changamoto zinazochochea mapambano dhidi ya  VVU Mkoani hapo Ndikilo ametaja  kuwa ni pamoja na Ndoa za utotoni, kuwepo kwa vituo vya maegesho ya malori kwenye barabara kuu,  ulevi  uliopindukia, ngoma za usiku (Vigodoro), kuwepo kwa biashara ya Ngono, ikiwemo vigodoro, "hizi ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha juhudi za mapambano dhidi ya UKIMWI.

Ndikilo ametoa wito kwa wadau mbalimbali  wanaoshughulika na Masuala ya Udhibiti wa UKIMWI kuendeleza mapambano, ikiwemo Halmashauri kuwa na Sheria ndogo za kudhibiti sherehe na shughuli mbalimbali zenye viashiria vya UKIMWI.

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwa Mkoa wa Pwani yamefanyika leo Disemba 1, 2020 Wilayani Bagamoyo yakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo aliyekuwa Mgeni rasmi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo