• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WIKI YA CHANJO.

Posted on: April 29th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainab Kawawa amezindua wiki ya chanjo ya Polio ya sindano katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo kwa watoto walio chini ya mwaka mmoja na kuwapongeza wazazi walio jitokeza kuwaleta watoto wao kupata chanjo hiyo.

Uzinduzi huo umefanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo tarehe 29 Aprili 2021 ambapo Mhe.Zainab ameeleza umihumu wa chanjo hiyo huku akitoa pongezi kwa wote walioandaa zoezi hilo la utoaji wa chanjo ‘’nitoe shukrani zangu kwa wale wote walioandaa zoezi hili pamoja na kunialika kuwepo hapa ili kusudi niweze kushiriki zoezi hili la muhimu sana kwa ajili ya kuimarisha uhai na afya ya jamii’’ amesema Mkuu wa Wilaya.

Mhe. Zainab Kawawa amesema kuwa watu wote wamepitia hatua ya kupata chanjo hiyo, hivyo  chanjo ni jambo muhimu sana kwa kila mmoja wetu kumleta mtoto ili kuweza kupata chanjo kwani chanjo hii ya Polio ina umuhimu mkubwa sana na inasaidia vitu vingi katika mwili.

‘’Chanjo ya Polio inazuia viungo vya mwili visije vikapooza vikashindwa kufanya kazi yake hatimae ukaja kuwa mlemavu na taifa kupoteza nguvu kazi’’amesema Mkuu wa Wilaya.

Aidha Mkuu huyo  wa Wilaya  pia amesisitiza kuwa chanjo hizo lazima zifutae utaratibu kama ambavyo wataalamu walivyotoa maelekezo na kuongeza kuwa wanahitaji jamii ya watu wenye afya bora,jamii yenye nguvu kazi ya kutosha pamoja na jamii ambayo inafata ratiba na taratibu zote za chanjo .

Ugonjwa wa Polio ni ugonjwa unaoambukizwa na virusi vijulikanavyo kwa jina la kitaalamu kama Polio virus,ungonjwa huo wa Polio unakingwa kwa chanjo ya polio ya Matone (OPV) ambayo hutolewa mtoto anapozaliwa na katika wiki ya 6,10 na 14.Chanjo ya sindano (IPV) hutolewa mtoto anapotimiza umri wa miaka 14.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo