• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZAIDI YA MILIONI 200 KUTUMIKA KUANDAA MPANGO KABAMBE (MASTER PLAN)

Posted on: February 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainabu Kawawa amepongeza hatua zilizofikia za uandaaji wa mpango kabambe (master plan)katika hamashauri  na kusistiza kuendelea kuwajibika ili kuweza kufikia malengo yaliyokuwepo katika mpango huo kabambe

Pongezi izo amezitoa wakati wa warsha iliyofanyika leo hii terehe 26 February 2021 ya kujadili uandaaji wa mpango kabambe wa mji wa bagamoyo ambapo ameeleza sababu za kutoa pongezi hizo kwani katika halmashauri zote wao ndio wamekuwa wa kwanza kuandaa mpango huo kama ambavyo agizo limetolewa kila whalmashauri kuandaa mpango wake wa mji

Aidha Mhe Zainabu amesema kuwa mpango huo umekwishatengewa fedha na nimpango ambao utakuwa na faida kubwa kwa halmashauri kwa ujumla huku akisema kuwa pia unakwenda kuondoa baadhi ya migogoro ya ardhi ambayo ipo na ilisababishwa na baadhi ya watu ambao sio waaminifu laini kupitia mpango huo utakwenda kuondoa matatizo yote yaliyo kuwepo na kuweka mji katika mpangilio uliokuwa mzuri hata kimuonekano

Mhe Zainabu pia amesema ziadi ya shilingi milioni 200 zinakwenda kutumika katika kuandaa mpango huo na kutoa rai kuwa ni kuhakikisha mpango huo unaelezwa vizuri na unashirikishwa vizuri kwa watu wote huku akisistiza kwa wenyeviti wa kitongoji,vijiji kuweza kutambua kwenye maeneo ambayo wanayaongoza panapangwaje

‘’mimi rai yangu ni kwa wenyeviti wa kijiji,kitongozi kuhakikisha wanatambua maeneo yao yanapangwaje na kuna kuwa na utaratibu gani na mpango huu hauna maana kuwa kuwa unaenda kuathiri makazi yenu hapana ‘’alisema Mhe zainabu

Pia Mhe zainabu ameongeza kuwa kutengenezwa kwa mpango sio kuharibu utaratibu wa makazi ya watu bali ni kwenda kuboresha makazi na vitu vingine vya ziada kuongezeka katika mango huo ili kuweza kupendezesha maeneo yote

Kwa upende wake Mwenyekiti wa Halmashari ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe Mohamedi Usinga  ametoa shukrani kwa madiwani wenzake kwa kushiriki pamoja na wadau wote wakiwemo wenyeviti wa vitongoji na vijiji kwa kushiriki kwa pampja wakati wa kujadili uandaaji wa mpango kabambe wa mji wa bagamoyo

Pia mhe Usinga amesistiza ushirikiano unahitajika kwani kila kiongozi pamoja na wanachi kwa ujumla kiuyao ni kuelekea kuwa mji kamili na kukamilika kwa mpango huo japo kuwa ni jambo ambalo linahitaji uvumilivu pamoja na subra ya hali ya juu ili kuweza kufanikiwa

Pia amesistiza ushirikishwaji kwa wananchi ilimkuweza kupata maoni yao ili pia kuangalia kama yanafaa yawezed kutumika katika kuendelea kuandaa mpango huo huku pia akisema kuwepo pia kwa viongozi katika kamati izo kama inawekana lakini pia kama itashindikana basi ushirikiano uendelee kama ilivyo awali

Pia mhe Usinga amesema kuwa pesa zinazotolewa zifanyiwe kazi kwa uhalali wake pia kiuonekane kitu ambacho kinafanyiwa kazi na sio kutumia pesa kiholela matokeo yake mambo yaliyopangwa yanakuwa hayakamiliki

‘’pesa ambayo itatolewa itumike kweli katika kuandaa mpango huo na watu waone kweli kuna kitu kinafanyika na sio mtumie hela tuu alafu mwisho wa siku hakuna kitu mmekifanya sisi kama madiwani hatutokubali kuona kitu hicho kinatokea hasa kwa uongozi wangu mimi kama mwenyekiti’’ alisemea  Mhe Usinga

Mwisho alimaliza kwa kusistiza kuendelea kuchukua tahadhali mbalimbali za magonjwa ya mlipuko kuendelea kunawa mikono kwa maji tiririka,kutumia barakoa sehemu zenye mikusanyiko ya watu na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima ilim kuweza kuwa salama muda wote


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo