• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZIARA: MHE NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

Posted on: January 7th, 2021

Naibu Waziri wa MIfugo na Uvuvi Pauline Gekul amewahimiza wakufunzi katika

chuo cha Feta  Mbegani wilayani bagamoyo ili kuhakikisha vijana wanapata 

elimu ya uvuvi na ufugaji wa samaki ili kuweza kuzarisha ajira kwa vijana ili 

kutatua tatizo la ukosefu wa ajira.

Mhe Gekul almesema hayo alipo tembelea katika chuo hicho wakati wa ziara 

yake wilayani bagamoyo na kuzungumza  na Maafisa uvuvi,Madiwani,Watumishi

wa chuo hicho,Mbunge na pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.

Alisema kuwa muelekeo uliopo katika katika chuo hicho uko vizuri na kuwapongeza

juhudi wanazozifanya za uzalishaji wa samaki,pamoja na kutoa elimu kwa wanafunzi

waliopo hapo huku akiwataka kuwatumia wanafunzi hao katika shughuli hizo za 

mafunzo kwa vitendo ili na wao waweze kupata elimu kwa vitendo.

Aliongeza kuwa changamoto ambazo zimeelezwa amezichukua na atazifikisha

katika uongozi wa juu na kuona namna ya kuzitatua huku pia akiwataka kutumia

njia nyingine za ziada ili kuhakikisha wanatatua changamoto hizo ambazo zipo

lakini pia kutengeneza ubora na namna nzuri wa ukusanyaji fedha ili ziweze 

kuwasadia katika utatuzi wa changamoto.

‘’kila kitu nimekiona na changamoto nimeziskia lakini pia umeeleza utatuzi wa

changamoto hizo ambazo ambazo umezitaja na uhitaji wa gfedha ambazo 

ambazo mnaziitaji takribani bilioni 2.7 hivyo yote nimeyachukua na nitayafikisha

japo kuwa tayari mmekwisha kaa na waziri wa fedha hivyo mambo yote 

yataenda vizuri’’alisema Gekul.

Aliendelea kwa kusema kuwa Rais Dkt John Magufuli  amewaamini wote kwa

nafasi walizokuwepo pamoja na utaalamu walionao ili kumsaidia katika 

kuongoza nchi nay eye peke ake hawezi ndio maana mpo na tupo kwa ajili 

ya kumsadia majumu ya kuendesha nchi na kutatua changamoto walizonazo

wananchi hivyo wote tunapaswa kuwajibika ili kuendelea kumpunguzia 

majukumu mazito aliokuwa nayo.

Kuhusu upande wa samaki ambazo zinazalishwa kwenye mabwawa ya 

chuoni hapo ni vizuri kuongeza mabwawa japo kuna changamoto ya eneo 

kuwa sio la chuo kwa sasa maana bado haijaeleweka bandari itajengwa 

sehemu gani kwa sasahivyo jambo hilo linashuhulikiwa na mkuu wa 

utawala anafahamu taarifa hizo na maamuzi yatatolewa mapema ili 

kuweza kujua kama wataondoka au wataendelea kubaki.

Aidha Gekul amesema kuwa kikubwa kilichokuwepo kwenye wizara 

hyo ni kutokupatikana kwa malighafi kwenye viwanda kwa sababu ya 

soko la ndani lenyewe limeshapunguza ushindani  kwa watu wa 

viwanda na viwanda vinakosa samaki kwa sasa kwasababu walaji 

wa samaki wameongezeka nchini,pia na uvuvi haramu umekisiri 

pia na dnio maana wizara imeamua kurekebisha kanuni za uvuzi ili 

kuweza kulinda malighafi hizo.

Aliongeza kwa kusema kuwa ufugaji wa samaki katika mabwawa 

utasaidia kupunguza kilio cha uhaba wa malighafi unaokabili 

viwanda vingi nchini huku akiongeza kuwa ufugaji huo pia 

utasaidia kupunguza uvuvi haramu haramu kwa sababu 

watu watakuwa na chanzo mbadala cha kujipatia kipato.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo