• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZIARA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: January 4th, 2021

Mkaguzi mkuu wa ndani pamoja bwana Hamis Millas Juma  na Vincent Mirambo ( FMO)
wamefanya ziara leo januari 4 katika halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kukagua maendeleo
ya ujenzi wa vyumba vya madarasa sekondari ili kuionea hatua walio fikia.  

Ziara hiyo ilijumuisha wakaguzi hao kutoka mkoa pamoja na mkurugenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya bagamoyo,mbunge wa wilaya ya bagamoyo,mwenyekiti wa
halamashauri,pamoja na walezi wa kata pamoja na watendaji wa kata..

Akizungumza na viongozi pamoja na wananchi waliojitokeza katika ziara hiyo Mkurugezni
Mtendaji wa halmashauri ya wilaya Bi Fatuma O Latu amewapongeza wanachi pamoja na viongozi
wanahakikisha wanatimiza agizo la Mhe Waziri Mkuu la ujenzi wa vyumba
vya madarasa ili kuhakikisha wanafunzi wote walio faulu mitihani ya darasa la saba 2020
wanaweza kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza 2021.

Nae mwenyekiti wa halamshauri Mohamed A.Usinga  amesema kuwa watu wote wote
wanahitajika kujitoa na kushikamana ili kuhakikisha ujenzi ulioanza unamalizika na
changamoto zilizokuwepo pia zinatatuliwa kwa wakati ili kuhakikisha ujenzi huo
unaisha kwa wakati uliopangwa.‘’ili tufikie malengo tuliojiwekea lazima tuhakikishe wote
tunakuwa kitu kimoja na pia tunashirikiana kwahali na mali ili tuweze kukamilisha haya
majengo tuinayojenga kwa wakati stahiki na sio vinginevyo’’alisema mh Usinga

Mbunge wa wilaya ya bagamoyo Mhe Mwarami Mkenge amesema kuwa pindi mafundi
watakapofikia kwenye linta yeye atatoa kiasi cha shilingi laki tano kwa ajili ya kununulia
nondo kwa kila shule iliyopo katika jimbo ambayo inatakiwa kuongeza vyumba vya
madarasa‘’ahadi yangu mimi katika kuchangia na mimi kwenye huu ujenzi wa vyumba vya
madarasa nitatoa laki tano kwa kila shule inayofanya ujenzi bila kupendelea ili ziweze kunu
nuliwa nondo za linta’’alisema mhe Mkenge

Wajumbe kutoka mkoani bwana Hamisi Millas Juma pamoja na Vicncent Mirambo
wametoa pongezi kwa hatua ambayo tayari ipo ya ujenzi huku wakisema kuwa changamoto zilizopo
pia zimepokelewa na zitafikishwa sehemu husika huku wakitoa msistizo kuwa ziara hiyo sio ya mwisho
bali zitakuwa ni ziara nyingi zinakuja ili kuhakikisha ujenzi unakamilika kwa wakati
‘’sisi hatuna maneno mengi sana balo tupo hapa kwa ajili ya kuangalia sehemu ambayo mpo na namna
mabavyo mnafanya ama mnatekeleza agizo la Waziri Mkuu ndio maana tunasistiza kuwa changamoto
zilizopo tutazifikisha mahali husika lakini nanyie endeleeni na ujenzi’’ alisema Hamis Millas Juma         

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 32 katika halmashauri ya wilaya ya bagamoyo vinatakiwa kukamilika
kabla au ifikapo tarehe 28/02/2021 ili kuwezesha wanafunzi wote walio faulu mitihani ya darasa la saba
2020 waweze kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021..

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo