• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI LAKAMILIKA KWA UFANISI BAGAMOYO

Posted on: August 25th, 2018



Wananchi, timu ya Wataalamu ya Halmashauri na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo leo jumamosi ya tarehe 25 Agosti, 2018 wameshiriki katika zoezi kufanya la usafi wa mazingira yanayowazunguka ikiwa ni pamoja na Ofisi za Halmashauri, Taasisi za Serikali na binafsi, stendi ya dala dala ya Bagamoyo, masoko, barabara na Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.
Zoezi hili maalumu la usafi ni katika kutekeleza Agizo la Muheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli alilolitoa tarehe 9 Desemba, 2015 la kuhakikisha kila Mwananchi anashiriki katika usafi wa mazingira wa eneo analoishi au kufanyia biashara.
Aidha, zoezi hili la usafi wa mazingira limefanyika kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa nne kamili asubuhi huku maeneo mengi ya Kata ya Magomeni na Kata ya Dunda yakionekana yakiwa safi zaidi mara baada ya zoezi hilo la kufanya usafi.
Nae Kaimu Afisa Usafi na Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bw. Cleophace Murugwa akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema, “mbali ya kwamba kufanya usafi kunafanya mazingira yapendeze na pia kuondoa magonjwa yanayosababishwa na kuzungukwa na mazingira machafu, lakini pia zoezi la kufanya usafi kwa pamoja linajenga umoja na mshikamano na kuondoa matabaka katika jamii yetu”
Bw. Murugwa pia akatoa wito kwa Wana bagamoyo kujitokeza kufanya usafi kila inapofika jumamosi ya Mwisho wa Mwezi bila kutegea, wala kujali uwezo wa mtu, hadhi ya mtu, cheo au nafasi ya mtu katika jamii, na kuhamasisha viongozi wa Halmashauri hususani Waheshimiwa Madiwani kuwa mfano kwa kujitokeza kufanya usafi pamoja na Wananchi wao.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo